Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nasikia alienda kuhiji huko Uarabuni alikuwa na msafara ambao utajiri wake wa vito vya thamani ulikuwa haujawahi kuonekana.
Mkuu wewe ni mwalimu was history nini maana sifa kuu hmya hawa walimu wa history ni kufundisha kitu kilichopita kama na yeye alikuepo vile yaani akikuelezeq Anontio Achiduke alivyokufa na vita ikataokeaje utafikifiri alikuepo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sio Antonio Archiduke ni Franzis Ferdinand the Archiduke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…