Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Inabidi iwe hivo ila mi bado naomba mpindue matokeo.Nipo nasikiliza msondo Ngoma saa hizi
Hawa walituokota arsenal wabovu wakajiona wamekwiva,kumbe ligi mbichi kabisa[emoji276]Leo nilikuwa upande wenu ila sijaamini kabisa maana hamajawahi kunianguza mkikutana na big 4.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inabidi iwe hivo ila mi bado naomba mpindue matokeo.
HahahahaHahahahaha
Niko poa nagonga likes na listening msondo Ngoma [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zama za kati