Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nguvu ya upepo mkali unaondamana na kimbunga, kimeanza kugonga visiwa kadhaa kusini mwa jimbo la Florida nchini Marekani, huku kimbunga kikiacha uharibifu mkubwa katika visiwa vilivyoko kwenye bahari ya Atlantic huko Caribbean, kuelekea Marekani.
Kimbunga Irma, kinatarajiwa kugonga maeneo hayo, baadaye leo Jumapili.
 
 
 
 
 
Dah
Al shabab wamewaharibia sana sifa wasomalia hadi tunapotaka kutambulisha wachumba zetu kua ni wasomali tunapata wakati mgumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…