Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
 
 
 
 
 
 
Matibabu yake
Matibabu ya upungufu wa damu aina yoyote yanategemea aina ya upungufu wa damu inayomkabili mgonjwa.
Upungufu wa damu hutibiwa mapema kwa kubadili lishe pamoja na kuongeza lishe yenye vitamini C na B12 pamoja na madini ya chuma kutokana na visababishi vya tatizo.
Matibabu ya lishe yanaweza kutumika kwa ushauri wa daktari ingawa yanaweza yasitoshe hadi pale mgonjwa atakapoongezewa damu.
 
 
 
 
 
 
Mara nyingine vidonge na sindano zenye lishe hizo huweza kutumiwa na madaktari hospitalini sambamba na matibabu ya tatizo linalosababisha na iwapo mgonjwa yuko mahututi huweza kuongezewa damu. Ushauri, ukiona dalili hizo, muone daktari haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…