mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
19:0918:55
DALILI ZA UPUNGUFU WA DAMU
Mtu mwenye tatizo la upungufu wa damu mara nyingi huwa amepauka mwili na viganja na kucha kuwa nyeupe na hujisikia kuchoka, udhaifu na huwa na mwendo kasi wa damu (yaani High Pulse Rate) na macho yake huwa meupe.
Dalili nyingine ni mgonjwa kuhisi kiu, kizunguzungu wakati akisimama, kuwa na mahangaiko ya moyo wakati akitumia nguvu kufanya jambo lolote, kuhema mfululizo na kupumua harakaharaka,
HiHaaaaaa
Athante, nimegoma kudheeka...Very handsome
Poa mkuu niajeHabari wa ndugu
HahahahahaUnataka katani ya urefu gani
Mkuu HahahahahaAthante, nimegoma kudheeka...
Kwa raha zangu, naenda barabarani kwa ajili ya kuangalia.......wachaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio matajiri wa Siku hiziHii movie ya Sudden Death ilikuwa kali sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umemechi vibaya
Nipo mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aishi AI..... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu Hahahahaha
Yaani bonge la mtokowachaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
19:1319:11
[emoji119][emoji119][emoji119]Ndani ya siku 11 nimekuwa JF expert member