Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Huku leo usiku hapakaliki. Ni shida lakini acha tu nitest zali. Ndo maisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si unalijua hili linchi lenyewe lilivyo kubwa, yaani hata dalili tu hakuna! [emoji23][emoji23]
TeheheteheUkiona hivyo basi ujue ananiwaza. Jakitooo.....