ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Bado ipo nimechoka mieVipi show imeisha[emoji23][emoji23]
Ndo umenishtua wewe hata sielewi sijui ndo multi ID au ni niniCarba kuna mabadiliko humu umeyaona?
Ndo umenishtua wewe hata sielewi sijui ndo multi ID au ni nini
Naona mods waleee wanakuja taratibuu
What!!!!!Naona kuna maandalizi ya kuufuta uzi wetu pendws
HahahahahaEnglish figure ni wale waliopigwa pasi baba[emoji23][emoji23][emoji23]subiri nitafute picha
Itabidi tuulize mods si sahihiImekuaje wamemtoa jembekillo wakamuweka huyo jamaa hapo juu kama muanzisha mada?
Richie, Bishanga na wengineoView attachment 587036wahenga mnawakumbuka hawa