mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ukicheki hata clips za world cup 1986,1990,1994bukta ndio dizaini hiyoMbona zilikuwa fupi hivyo?
Hizo picha ni disturbing kwangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yap mchina
JakitoooKidebe[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Carba stuambie kwa nini zinampa usumbufu hizo bukta?Ukicheki hata clips za world cup 1986,1990,1994bukta ndio dizaini hiyo
Haka kajamaa haka nako kanafiki haka. Kenyewe watu walikuwa wanapotea tu au kanakutia kizuizini miaka na miaka. Eti zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nawaona mods wanakuja na ufutio vile[emoji22]Naona kuna maandalizi ya kuufuta uzi wetu pendws
Naona kuna maandalizi ya kuufuta uzi wetu pendws
Me nikifungua huwa nakuta page nilioishia ndo mana sikuona mapemaMwanzo nilidhan nimepotea jukwaa
Hii JF ya sasa hii mods wako overzealous sana. Sitashangaa kama wakiamua kuufuta huu uzi !!!Imekuaje wamemtoa jembekillo wakamuweka huyo jamaa hapo juu kama muanzisha mada?
Kama nakumbuka kuna mtu alianzisha Uzi unafanana na huu mods wakaunganisha ukawa mmoja so nafikiri ni huyu jamaaCarba kuna mabadiliko humu umeyaona?