Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sleep deprivation, insomnia, internet addiction....Mi mpaka kuna siku nimelala nikaota namgongea likes Carba. Wakifuta na likes aisee itakuwa shida !!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vocha ni nothing but muda tuliokesha kugonga likes
Tatizo sio muhenga weweMmh!fashion nyingine hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu niishie hapa
[emoji23][emoji23][emoji23]labda kule kwenye uzi waliokuwa wanamtafutaMzee wa namba sijui namba ataweka wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jokes
Vat 69 Mkuu jibapa andjulUzi unafutwa huu. Ukifikisha kesho nitafute nikutwange majibapa hata matano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sipati picha hilo zigo na ku twerk[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye blog moja hivi zamani nayo ilishakufa muda mrefu. Huyu binti kawa mhenga kwa sasa. Miaka sita nyuma hivi alikuwa tipwa tipwa msambwanda mdebwedo aki-twerk aisee presha inapanda hata points 5 above normal [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko ni sawa na insta ovyo kabisaNitahamia snap chart[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha expert member haupo[emoji23][emoji23][emoji23]unawaza likes eeh
Mara paaap likes zinachukuliwa na uzi unarudi kuwa new member[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo Vat 69 siijui aisee. Ni kinywaji gani hicho?Vat 69 Mkuu jibapa abdjul
WwwwW553
Mbona wanicheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama nakuona unavyorudi kuwa new member[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468]
HahahahahaMara paaaap uzi umepigwa kufuli
Hujakaa vizuri uzi umefutwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]