myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
13. Ni mnyama mwenye sumu kali ya nyongo, na nyongo yake ina sifa hizo kwa kuwa humsaidia katika mmeng'enyo wa chakula, kwani anapokula humeza hata mifupa.
14. Ni mnyama anayeua haraka, tofauti na wanyama wengine walao nyama, hivyo kifo chake si cha mateso kama ilivyo kwa simba au chui, ila kwa mtazamaji atapata hofu mara dufu kuliko akiona mauaji ya wanyama wengine.

Yego, sema....ki- na siyo li-
Yegoooooooooo !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikuwa nimesema hii mwaka lazima nibuy gari kwa pesa ya kubet but ile gari pekee naona ikiingia kwangu ni ambulance nikipata heart attack. Jeso!
[emoji23][emoji23][emoji23]