WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI✔
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.
2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati.
3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanza…….
4. Kamwe haiiti always vaibration.
5. Namba nyingi ha save.
6. Kuna simu hapokei hata iweje….anapenda sms zaidi
JE WAJUA TANZANIA NI NCHI PEKEE AMBAYO WATU WANAPOANZA KUCHAT huanza kwa kiingereza 'morning' na hupiga stor zote kwa kiswahil mwishon humalizia tena kwa kiingereza ' g9t
12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simu….anajishtukia.
13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi
14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko
To avoid and to solve problems
That true 100%
asante mkuu name pia nafurahi kuwa pamoja nanyi
Ukimya si udhaifu
7.Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika.
8.Muda mwingi ni mtu wakujihami.
9.Anapenda password na anabadili mara kwa mara.
10.Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta deal no haraka.
11.Always yuko na simu…..hadi bafuni ikibidi.
Ungejua basi kama ugomvi nimeacha hata usingesema
Usiku mwema
Kamanda usipotee
Uzi urejeshwa kwenye sura yake kamili[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji736]Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa hata ukicomment herufi moja tu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
kitabu cha think and grow rich kina hiyo story ya jamaa aliyekata tamaa na mgodi wake wakati akiwa amebakiza hatua chache
and daughters too