Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Nyimbo gani hiiKuyaanza ni vigumu,kutengana ni rahisi,kuyafanya ya dumu,
inapaswa wakaanga sumu wote wa-tight,
CantstopwontStop
[emoji101] [emoji101] [emoji101] naona unaimba tu mwenyewe[emoji1]Unamuita Queen na unapassion ya kumuona,
Simu yake ina pin na ma-password kila kona,
Na majina kama kadabra,kumbe ni Ibra yani Roma,
Na aliemsave kama baba,Ndio ulie jiba nae kinoma,
CantstopwontStop