Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Bro. Mi nahangaika kukulindia tena unataka kunigeuzia kibao? Ungejua ninavyopambana ungeniletea hata shehena ya ugali kama zawadi. Unamjua Andaeitiini wewe? Singo faza je?
Relax bro. Mi sina ile falsafa zembe ya eti tunakulagaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa huoni kama nasononeka kukosa mtoko[emoji22][emoji22]Kwa ulivyo committed najua baada ya kutoroka baadae ungejilaumu, na unajua vile sipendi kuona ukisononeka
CantstopwontStop
Hiyo CHAWAVITA hebu ifikirieni hapo kwenye vi maana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kachama kengine huko kameanza anza. Eti wanajiita CHAWAVITA (Chama cha Wapenda Vimbaumbau Tanzania). Washindwe na walegee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole my princess watakuja kukupa ushauriNipo wapenzi, nazidi kuwamis ila mguu wangu jamani.
Wataalam wa mifupa hebu jitokezeni mje pm mnipe ushauri aisee. Maana hadi nachoka kumeza dawa.
AMUN RA19:41
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*VITUKO KWENYE DALADALA*
*MZEE; dereva ongeza sauti tumsikilize mwalimu nyerere*
*DEREVA;ungemsikiliza mwalimu wako sahizi ungekuwa na gari lako*
*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sahizi tupo hospital dereva yupo chumba cha wagonjwa mahututi*
CantstopwontStop
LikesLikes
AMUN RA19:52
Ambe mai wasuWakondya mwanawasu.
Likes kwa kila postLikes