carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23]haya bhanaUnadhani itasaidia? We subiri tu hapa, katazuka tu ghafla na msamiati wake wa usingizi kukata! [emoji23][emoji23]
Mimi?Ulimloga sana hadi akili zimekuwa za ku integrate[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una zuga eee???Hivi maparachichi yangu yapo au ushauza?
Niache nipige selfie kabla sijalala.Basi angalia hii picha yangu ya harusi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 589207
Nazuga nini na mimi nauliza?Una zuga eee???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmhh!saizi unekunywa nini wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti kichwa maji
ChitakiNiache nipige selfie kabla sijalala.
Karibu selfie
Wasiliana naoHivi hawa ma modes wanaweza nifungulia PM yangu? Nilishapoteza ufunguo siku nyingi! [emoji848]
Kesho shule eeh?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha nisepe tena nisahau kama si week nilale [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bhasi acha nikamboji zangu we dogo.Chitaki
Jakitoo ini da hausi[emoji23][emoji23][emoji23]Kama nimemuona jakitoo humu! [emoji23][emoji15]
Ngoja nikalale mie[emoji23][emoji23][emoji23]Bhasi acha nikamboji zangu we dogo.
Unakaa macho hadi macho yanajuta kukaa kwako yanatamani macho yangu yana enjoy tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]