Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mnyama wa kale asili ya nyangumi na kiboko aligawanyika kutoka jamii nyingine za wanyama wenye kwato nne mnamo miaka milioni 60 iliyopita. Mabaki ya kale zaidi ya kiboko ni ya jenasi Kenyapotamus katika Afrika, wa tangu miaka milioni 16 iliyopita.

Lasivyo nini we mzeeCarba ni mvumilivu sana... Lasivyo...