Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo hapo mkuu wewe tu kulikeNimekuja nipate like
Weka like tuweke likeLete like
pokea like hilo,achana na mambo ya mikeka utajinyonga bure kwa stresssssna mkeka wangu umebuma mapema bora stress ziishie huku kwa [emoji106][emoji106][emoji106]
Nataka kiss sio like mimiHa haa likes tamu baby
asante.., karne moja inakaribia tangu niambiwe neno hiliNakupend
Hizo like mkuuMbona kimya?
Huku bampa bampaDuuuuuuuh huku kumekuchaaaa. Wallah hii thread nimeiona wakati imeanzishwa nikaidharau, sasa kila nikiingia humu naikuta juu posts kibaoo.
I'm in [emoji5]
pole kwa kuchelewa ila nafasi bado unayo...karibu mjengoni,huku hatutimuani au kutoana njeeeee.wote ni spikas...hahaDuuuuuuuh huku kumekuchaaaa. Wallah hii thread nimeiona wakati imeanzishwa nikaidharau, sasa kila nikiingia humu naikuta juu posts kibaoo.
I'm in [emoji5]
Asante sanaHizo like mkuu
Gari sijaizoom vizuri ngoja nilike kwanza
Niwekee basWeka like tuweke like
He he hee. Hamia kitandani mwifwa mbona huwi mjanja.Dua zenu wakuu, naumwa na mbu