carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Habari ya kuamka babes[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Zizi la Cole Strong everyday.
My hero(ine)!!!Nothing in life is to be feared. It is only to be understood.
Marie Curie
Njema Mungu apewe shukraniHabari ya kuamka babes
Nililala kama 3hrs hiviNjema Mungu apewe shukrani
Ulilala kweli kipenzi?
Na iwe hivyo.Habarini wapendwa wote
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine mpya
Tumshukuru pia kwa watu wote walio maishani mwetu,mana wengine ni baraka na wengine wanatufundisha
Tunapopata wasaa tujaribu waombea na kusaidia wengine wenye madhira mbalimbali
Mungu atubariki sote,amin[emoji120][emoji120][emoji120]
Same hereHii series nilikuwa naipenda ila ikapoteza mvuto kwangu ghafla