Siwezi kukutukana mkuu. Mimi pia nakuheshimu sana. Wewe ni GT ila tu unaboa unapohamishia uanaharaki wako huku!!!Unajua nakuheshimu sana. Sasa ukianza kunitusi mimi matusi nayaweza pia.
Kabisa mkuu,, yani US hawalaliKiduku anamchanganya sana USA
Sawa !!!Hakuna anayelalamika ndio ukweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa anashangaza sana huyu!
Umeongea jambo mhimu sana mkuu!Siasa sio mahala pake