mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Amen !!!Mungu yu hai
Yap MkuuUmeongea jambo mhimu sana mkuu!
Sasa nyie si mnaleta siasa na uanaharakati wenu huku jamani. Na mkijibiwa kidogo tu mnaripuka? Kuna sababu wengine tumekimbia jukwaa la siasa lakini sasa jukwaa la siasa mnapolihamishia huku tena kwa vionjo vile vile mnataka wengine tufanyeje?Haipendezi mtu apate ban kwa ajili ya Uzi huu
Kabisa mkuu,, yani US hawalali
Siwezi kukutukana mkuu. Mimi pia nakuheshimu sana. Wewe ni GT ila tu unaboa unapohamishia uanaharaki wako huku!!!