myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Team mikesha,[emoji3] [emoji3] [emoji3] unaenda kwenye vigoro kisha huko huko unalisongesha[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wewe inaitwa team popo au team bundi[emoji23]
Alikuwa anavizia mazizi kwa visingizio vya kutafutiwa mchumba, akakutana na mikwara ya kutekwa, akaona isiwe tabu bora naye ajipange kwa mbinu zilezile[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ujasusi mzuri au mbaya?
Endelea kuwaza tu ukiamka nawe utakuta baba...kabebwa. Usifikiri mazizi yanavunjwa na wanaume pekee[emoji3] [emoji3] [emoji3]Sijui nimewaza nini[emoji23][emoji23][emoji23]
Natembea na ving'amuzi vya kuwajua wabaya wangu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Jiandae sasa[emoji23][emoji23][emoji23]noah nyeusi yaja
AMUN RAamun ra
Poa jembeBaadaye kidogo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] duu, kuna vyama vingi hapa. Ni chama gani hicho? Au mna mpango wa kusimamisha mgombea 2020Mzee Ruta ndani ya CHAUMITA. Karibu sana chamani Mulangira!!!
SafiTuzingatie taratibu tulizojiwekea
Nasi twakupendaNawapenda wote
100%Mungu yu hai
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Afadhali ungekwama huko huko Mogadishu tu kwa kweli. Nilianzisha mpaka harakati za kukuombea hapa. Aaaargh !!!!
KweliMungu ni wetu sote