Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo binti.
Nipo.
Nitakuwepo.
Nitakushika mkono.
Tuongozane pamoja.
Kuelekea tukujuako.
Mimi na wewe.
Uwili katika umoja.
Mpaka machweoni.

Umejiandaaje na safari hii ndefu?
Unacho kibuyu kipya kizuri?
Chenye maji matamu.
Uliyoyateka kutoka katika kisima cha fikra?

Usiogope!
Nipo tayari...
Njoo nikushike mkono.
Twende !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…