Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Aiseeee poti mia mia kabisa
Hapa nipo nasubiri game tu kamanda langu ya Man U.Hahahahaha hapana mkuu yupo
Niambie mambo yanendaje wapi mchina mweusi
Ukiwa muongo lazima na kumbukumbu
Tunakaribia kuhama kijiwe[emoji6][emoji6]Team carba naona mnajongea in da hausi
[emoji30][emoji30][emoji30]
Naona mnapiga mtu leo
Team carba ni ile ya kupenda misambwanda[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi sipo kuleTeam carba naona mnajongea in da hausi
Kumbe ndo mana upo humu??Hapa nipo nasubiri game tu kamanda langu ya Man U.
Mchina ni mganga usiku huu itakuwa ameenda kutafuta dawa mchawi yule
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] taratibu ataelewa tuHajambo inagawa baba mke amekuwa mbogo ila kwenye kizuri lazima kuna changamoto
Hatari sana