mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Dunia hii imecharuka kweli kweli. Ni bandika bandua ya nachuro dizastazi.
Watu wa utabiri wanasema ujio wa Masihi wetu umekaribia. Ni wakati wa kujiweka tayari [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]