[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa mkuu Pata like
HatareeeWambie warudi dada we watakusikia jukwaa halina watu thread zote nachangia peke yangu
Avatar yako imefanya damu yangu ichemke sanaHapa pazuri sanaa
Kiembesamaki ndo kwetu
Sawa sawa mkuu hapa hadi nimejikata tone la damu limeanguka chini limeandika likeNimetoka kukojoa like
Nilikaribisha wakati naaga, wewe huenda umekuta mwaliko umefunikwaDaah mkuu hukaribishi, au hadi tufunge wote
Njoo tugongane.........I mean tugongeane likesNahitaji like
Herufi nne tu.Hivi kumbe kweli mnatoa like bureeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mtu kanipa like, halafu amerudi kuichukua...
Namwangalia tu[emoji38][emoji38][emoji1]