SHIKAMOO Numbisa, kurasa tatu umefunika post zako!!!field of greens;hivi ni virutubisho ambavyo vina mboga za majani nyingi sana ambazo hupunguza kiasi cha cholestrol au lehemu mwilini, kupunguza kiasi cha sukari mwilini kwa wagonjwa wa kisukari,husaidia mzunguko wa damu na kuondoa sumu mwilini. kwa kufanya hivi presha hupungua na kua katika hali ya kawaida lakini pia husaidia kupunguza uzito.
Pale paleLeo siwezi kupita huko nipo mbali ila si bado upo pale pale?
WatasikiaWasalimie huko
Nimeitika jakitoo ya buyenzeMahabateee...
Nakusalimu carba
Nitajitahidi ila tatizo hutaki hata kuhama pale.Pale pale
Ulipotea ghafla ikabidi tuulizane et[emoji23][emoji23][emoji23]
Mhh sifa nyingine hizi mnazopeana. Kaaazi kweli kweli . Gonga likes upate kikiHaha..ndugu, mheshimiwa nyalandu ni tofauti na wehu wengine, kwanza ni msomi na zaidi ana hofu ya Mungu.
Nipo huwa nawacheck tuKutoweka ndiye gwiji
[emoji120][emoji120][emoji179] [emoji134] [emoji134]
Nakuona nakuona!Hellow....!