Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni misamaki ya pwani huko. Mingine michungu ka shubiri. Mingine inabushisha. Tubakie na sato na sangara wetu tu babe pamoja na dagaa wa Kigoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao samaki hata siwajui[emoji125] ...... Karibuni lakini
Niulize mimi kwa niaba yakeTumuulize Alibakari
Mwenzenu alikuwa mgonjwa jamani. Alisema atarudi tena Bugando wiki hii. Pengine kaelemewa huko aliko. Tumuombee [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Sijamuona mana mwenyewe namtafuta et
Unakatafuta ka nini haka kajamaa kaharibifu ka mazizi ya watu? Si ajabu kameelemewa na mamitihani huko kaliko. Kaache kapambane huko !!!Wapi Yegomasika
Hapana hizo tafiti za twaweza.Kuna mtu alikuja na utafiti kuhusu wadada wa JF kufanana na baba zetu ohooo shauri yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Hao siyo konokono wala "konokono* hao ni CHAZA bana. Konokono ni wale wa ziwani, mtoni na vichakani. Wavunwao baharini wote ni samaki jamani.Hivi umemaanisha konokono ama "konokono"akili yangu imeshindwa kuelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo hata simfaham ila macho yangu huwa hayakosei bibie.Wewe na kichwa kichafu mnajuana???
Shauri yako tu, sisi SHIKAMOO hatuna hiyana nayo. ukitaka unapewa lakini......Nzuri,MARAHABAAAA mdogo wangu(najishtukia hapa maana waweza kua unanizidi umri?)
Asantepoleni mnaotoka kazini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipe vesi ya kwanza na ya pili....
Na ulivyo bingwa wa kufukua makaburi. Utafikiri ni Anthropologist kumbe Accountant. Hovyo kabisa !!!
Umeninukuu tofauti kabsaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tayari ushapindisha mambo. Kha !!!
Kupenda hisia kali hadi huwa zinadanganya kichwa changu.Eti ehee? Nahisi hata ukinywa maji unauona mwandiko kwenye glass
Unakatafuta ka nini haka kajamaa kaharibifu ka mazizi ya watu? Si ajabu kameelemewa na mamitihani huko kaliko. Kaache kapambane huko !!!
Ukweli huo bibie[emoji39]Unamkana?