Kichwa kichafu confirmed 40,000
40k
40k
Pongezi kwa ndugu zangu wote
40k hii hapa na kichwa kichafu mbeba nyundo kafanya yake.
Kula like kwqnza
Aaaaaaaah jamani! Hongera nakupa likes nyingiiiii!! CONGRATS
Naona hangover ya weekend.Wadau wapi!, wamekuachia uwanja hapa
Usione mwangaNdio nimeshtuka sasa, nimuamua nile daku huku nimefumba macho
Karibu karibu nilikumiss weweHodi hodi, habari ya asubuhi?
kweli we ni kichwa kichafu vp malengo ya leoTulikamilisha lengo usiku wa jana
Malengo ya leo naona ni 45k tu maana 41k hivi punde tunapita kwa speed ya thunderkweli we ni kichwa kichafu vp malengo ya leo
Hahaha naona jana ulikuwa kwenye usingizi mzito.Mwana hii namba nilikuwa naitafuta sana, Hongera Mkuu.
Majibu ya shs 40KNdio mkuu.
Vipi wewe huyo aliyejipaka unga kama mshana jr ni wewe
Sambaza likes mkuu uvune like10k likes dah nimfukuzie kichwa kichafu sasa
Asante sana kiongoziWazima mkuu karibu
SawaKeep learning
Naina wengi wamepania hiyo mkuu ukianza na babe SSpidi ya kufika 40,000 imenishangaza sana.
Ngoja nijipange kwa 50k sasa.
I do[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Keep going
Pamoja mkuuNitarudi baadaye kusambaza upendo