[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna jamaa yangu mmoja yeye ana msemo wake, "Jana kama saa hizi ilikuwa saa tisa mchana" hapo ndiyo kwanza saa tatu asubuhi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa maneno mengine saa haziendi lol!