[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Watu wamepewa onyo kwa sababu kazi haziendi sawa sababu ya like
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Maslahi yake yanategemea ushindi. Kutimuliwa kwake kunatokana kufungwa fungwaMaslahi yake na wenye timu tu!
Hana maumivu na kufungwa huyo
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Madereva wengine bwana !!!
Nimeguswa
Mkuu achana na yule mwanamke ili nikupe utetezi, vinginevyo utapaona pachungu[emoji3] [emoji3]Hizi fitina zako ni hatari mkuu! Mtu najitahidi kueneza upako lakini wewe unatia fitna tu, Duu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Yuko vizuri sana
Namkubali sana.