definition
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 972
- 1,584
Both[emoji87] [emoji87] [emoji87]Hivyo vilivyo ndani ya hizo glasi ndio weakness yako, au glasi zenyewe! Nipe location ya mahali ulipo nikuletee! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Haya jiraniZa kawaida jirani
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Jamaniiiiii !!!
Mshua wa Kisukuma tena kijijini huko halafu ubahatishe siku hiyo kaonja jibapa la kienyeji aisee sipati picha muziki wake [emoji23][emoji23][emoji23]
Both[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Mbona wanitega lakini?[emoji23][emoji23]Nkuletee saa hii? [emoji23][emoji23]
Shiiii taratibu usije mpa presha mzee wa liverKichwa cha mwenda wazimu liverpool kama nawaona waki nyolewa tena leo na wale wababe wao.
Thank u yego