Mbona wanitega lakini?[emoji23][emoji23]
Huwa sijui kukataa vitu vizuri ujue[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hatumpi presha..tuna muanda kisaikologia.Shiiii taratibu usije mpa presha mzee wa liver
Niletee[emoji87] [emoji87] [emoji87]Fanya kile roho inapenda! [emoji23][emoji23]
Kachungaji feki leo kameibuka na mvinyo mwekundu? Kazi ipooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39]acha kunitega puliiiizii
Mamods nako wanakushupalia kama jukwaa la siasa ambako kula ban ni kama kuvuta hewa?Celebrity forums a funny place kwa kutoa mapovu watu hahhajaa