myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ha ha haaaPiga kazi mwanangu ninacho jari ni mshiko tu unaoleta home si unajua sisi wazee wa kiswahili kazi ni kucheza bao
HawafaiMafisadi ni adui wa uma
Sana,Panya road ni adui wetu
Jamaa anatafakari ni mamna gani mgunduzi wa konyaji aliweza kuifanya iwe chungu na tamu.