Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Nafurahi sana kukuona Cole Williams ukikita kambi hapa Kijijini. Nilikuwa nimetembelea jimbo la Mazizini kuangalia namna gani Uwekezaji ulivyo.Amani ilioje hii kuona reply yako mbunge wa kiembesamaki.
COLEWORLDLOVESYOU
Me Mzima BAK za kwako?Mzima weye ringson?
Mkuu sijambo habari za muda huu moudgulf. Nilitembelea Jimboni Mazizini kuangalia namna gani Uwekezaji ulivyo.Mkuu Ghazwati habari yako mh mbunge
Kwa jinsi mambo yanavyoendelea hapa, una hatari ya kupoteza meno ya reception.Home boy, huyu muungwana kila gia mpya ninayoiingia nayo humu yeye anaipangua mapemaaa! Ananizibia riziki huyu jamaa. Asiwe na wasiwasi, wife wake yuko salama salimini! [emoji23][emoji23][emoji23]
Duu angalau leo nasi tusafishe nyotaFulltime Liver 3 Lei 2 ..Liver wanatoka kifua mbele na ponti 3
Me Mzima BAK za kwako?
Haa Haa ndo maana nikauliza punda hajasoma lakini hakosi ajira kwa nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unataka nipate upungufu wa maji mwilini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuona nakuona mh[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji2] [emoji2]Mkuu sijambo habari za muda huu moudgulf. Nilitembelea Jimboni Mazizini kuangalia namna gani Uwekezaji ulivyo.
Nipe mpya za mitaa fulani kule... Ha ha ha.
Zimefika mda huo huo[emoji6] [emoji6]Msalimie[emoji38][emoji38]
Haya karibu, kuna muda niliona upo kifungoni.Niko poa kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu. Thanks for asking.
Kwa jinsi mambo yanavyoendelea hapa, una hatari ya kupoteza meno ya reception.
Hunitakii mema nimekugundua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]