myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee kweli mwanamke ninae bonge la point,Twende tukalale babes
Bila huu mmea kusingekuwa na For Ever Living, RIFARO, GNLD na wengineo. Karibu kila product yao main ingredient ni Aloe Vera [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shem nilikutumia juice na matundaBila huu mmea kusingekuwa na For Ever Living, RIFARO, GNLD na wengineo. Karibu kila product yao main ingredient ni Aloe Vera [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakwambia ni shida. Huyo ex hapa kakwepa bomu tena la nyuklia !!![emoji23][emoji23]haya maombi kiboko,x popote alipo kazi anayo
Kesho nitaiona juice yangu. Wameniambia kwenye app kuna tatizo kwa baadhi ya watu lakini nikiingia kwa kutumia PC basi nitakuta kila kitu. Kesho nitafauduuu !!!Shem nilikutumia juice na matunda
Uwe na siku njema