ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Ni mihemuko isiyo na faida mkuuMijadala yenye historia ya kuzalisha hasira, matusi na ban kwa memba wake imekataliwa
Wapi huko.Leo nime mkamata Jembekillo aka KK
Safi sana,Mijadala mikali yenye mabishano humalizwa kwa bekima
Yaani ni sehemi salama labda ujitafutie mwenyeweUzi uliojiweka mbali na povu za memba wake
Ndo maana unakimbia hatariUzi wa kiungwana, wenye mijadala ya kiungwana
We mzee kwa kutoa ushauri na busara upo vizuri ila si kwa mambo mengine.
Siri ni kutoingiza siasaNini nini siri ya Uzi kukosa ban?
Ni kweliNi kweli
Sababu vichwa maji hawaungwi mkono wanaishia kukata tamaa na kuhamia nyuzi zingine.Ingawa ndani ya uzi kuna vichwa maji na vichwa asali lakini hakuna ban iliyopatokana kwa sababu ya uzi
Kweli tupuMemba wenyewe wamekubaliana kupambana na hali yao ili uzi uwe wa mfano
Like tuMemba wa uzi huo wameishi kwa furaha tako mwanzo wa uzi