Mwakapesa II
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 569
- 927
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naenda kunywa uji wakuu
The one and onlyISIS.....................
Wanakuja na kuvuna likesNi uzi uliosemekana ni kitoto toka kwa wale walojiweka mbali na uzi huu, lakini hatimaye wakabaini ni uzi mtamu mno
14:3509:06
Kwema kabisaKwema?
Baba mkwe wa kk
Heshima yako mkuu. Wajenga hoja nenda jukwaa la siasa huko ukakutane na maGT wa ukweli. Kwema lakini?Ni uzi ulipo tuweka pamoja na mjenga hoja maarufu ndani ya jamiiforums SHIMBA YA BUYENZE
Mbona siwaelewi nyinyiKila penye jema hapakosi
Nitajaribu kumcheki. Anauguliwa na mzazi wake kwa muda sasa. Tuendelee kumuombea tu!!!Mkuu chairman wako simuoni
Aaaa wapi. Sijui cho chote. Najaribu tu kuangalia angalia. Nikija huko utaniona tu hapo Dodoma. Hata ukitaka unga wa muhogo nitaleta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu umeshakuwa master
I agree kabisa kabisa. Busara na hekima zako mkuu !!!Because marriage is overrated! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mkuuuMzee wa liver tuambie vizuri hatukubali kuwa tunapotelewa na watu kizembe hivi
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Wajanja sana hawa. Unakwenda kunyoa kabla hujashtuka mwishoni bili inakuwa 90K+. Sitakaa nirudie...Fanya scrub walau mara moja kwa mwezi ili kulainisha ngozi ya usoView attachment 596078