Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji4][emoji4][emoji4]mambo yanabana kiasi sasahivi naja kwa kuibia ibiaKinachonisumbua ni nilikumiss Tu Sana
COLEWORLDLOVESYOU
Kulipa mimbaKukopa harusi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kifo hapana budi kujaPowerful pump. Mushkeli kidogo tu watu wanaimba parapanda italia parapanda. Hovyo kabisa!!!
Kweli anatisha
Pole kipenzi every little thing gonna be Alright.[emoji4][emoji4][emoji4]mambo yanabana kiasi sasahivi naja kwa kuibia ibia
Nakumiss pia[emoji9]
Bin adamu ni shida sana
Nani tenaKimbaumbau kanenepa kawa Tukunyama