Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyo jamaa si hoteli,inawezekana wanahisi ni umeme.
Haya maisha bhana tuwaachie wenyewe maana ndo wameyachagua
Habari ya leo
Ni kweli.
Kila mtu na maisha yake aliyojichagulia.
Ali mradi havunji sheria....

Habari ya leo nzuri...
Ndo najiandaa kwenda kuutandika.

Uwe na siku njema shemeji yangu...
Matunda yako nimekula...na kusaza.
ASANTE SANA !!!

Mzee wa Tukuyu keshapatikana?
 
Ila nadhani likes katika uzi huu zinazidi kupungua siku hadi siku.
Imekuwa nadra sasa kukuta post ina likes 5 kama tulivyokuwa tumezoea
Post nyingi sasa zina likes moja, mbili na mara nyingi hazizidi tatu.

Kuna nini?
Tumechoka ama?
Mungu Aendelee kutubariki na kutuzidishia upendo.

(Just an observation. Silalamiki ha ha haaaa)
​
 
Ila nadhani likes katika uzi huu zinazidi kupungua siku hadi siku.​
Imekuwa nadra sasa kukuta post ina likes 5 kama tulivyokuwa tumezoea
Post nyingi sasa zina likes moja, mbili na mara nyingi hazizidi tatu.


Kuna nini?
Tumechoka ama?
Mungu Aendelee kutubariki na kutuzidishia upendo.


(Just an observation. Silalamiki !!!)​
 
Aiseeh !bado sijampata
Ukawe na usiku mwema,Mungu akulinde
 
Siku hizi ni janga la uzi
Sijui tumekinai[emoji19][emoji19][emoji19]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…