Like yako iko wap?Embu nipen hizo likes za kutosha
Mzee wa liver, Numbisa, myoyambendi, ho chi minh, carbamazepine, SHIMBA YA BUYENZE, Yegomasika, jakitoo, Rutashubanyuma, moudgulf.
Nawengine ambao sijawataja amani kwenu wakuu, tulisongeshe
Umechanganya shemeji,Cole na mzee wa tukuyy si ndugu hawa?Kwani unataka umlime talaka Cole halafu uhamie kwa Mzee wa Tukuyu? Au nachanganya mambo shemeji?