carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kwema kabisa nipo napambana[emoji123][emoji123]Mungu anasaidia kipenzi viph kwako?
Na bado unapigwa vita,watu bhanaUzi uliopigwa vita unazidi kuchanja mbuga
Strong everydayKwema kabisa nipo napambana[emoji123][emoji123]
Karibu sana rafiki mpenziAnhaaa maana jana humu nilipigwa mabango, nashukru kwa sasa mm niko poa kbs.
Sante babes[emoji4][emoji4][emoji4]Strong everyday
My woman you are the best
Mabango gani hayo?Anhaaa maana jana humu nilipigwa mabango, nashukru kwa sasa mm niko poa kbs.
You always comes First baby girlSante babes[emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Tako hatar sana
Kwa sasa mambo yako hivyoSiyo mara zote. Siku hizi mtu baki anaweza kukusaidia kuliko hata ndugu wa tumbo moja. Kwema lakini?
Yaani kama huyu carbamazepine akinipa taraka sitajihusisha Tena na mambo ya kupenda sijui.Kwani unataka umlime talaka Cole halafu uhamie kwa Mzee wa Tukuyu? Au nachanganya mambo shemeji?
Habari yako mkuuKaribu sana rafiki mpenzi