Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakuu nashindwa ku upload picha nifanye vp
Unajua jinsi ya ku-upload picha hapa JF kwa kutumia simu? (Au hili ndo tatizo lenyewe?)

Mtandao wako ukoje? Kama hauko sawa au ni wa pole pole sana picha zinaweza kugoma.

Picha unazotaka ku-upload ni za aina gani? Ukubwa wake ukoje? GIFs na picha kubwa zaidi ya MB 2 kama PNG huwa zina matatizo. Kama ni kubwa unaweza kuzibadilisha zikawa katika JPG.

[emoji117][emoji117][emoji117] Kama yote haya yako sawa na unatumia simu, fanya hivi kwa urahisi zaidi:

Jifanye kama unajibu comment ya mtu. Pale chini utaona icons tano - kamera, picha, emoji, attachments na links. Bonyeza icon ya pili na itakupeleka moja kwa moja katika folder lako la picha katika simu. Chagua picha unayotaka kui-upload, ibonyeze na utakuwa ushamaliza kazi.

Comment uliyokuwa unajifanya kuijibu idelete tu basi....
 
Are all these things necessarily necessary? [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…