mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwambie aje kukusalimu hata dk 1 tu wenge liishe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha mkuu chairman wewe
Wewe likes tu utajua muda unavyoendaNaomba kujua nani mwenyekiti humu..? Numbisa naomba jibu
Huu uzi nilikuwa nauruka kila siku bila kuufungua wacha leo nikae nisome kila komenti kwa kituo.....
[emoji106][emoji106][emoji106]Chairman yupo mwingine,huyo ashapimduliwa.kwanza hatoi likes nyingi
Duh.. Mkuu fanya mchakato mnipe hata utunza hazina... Kumbuka nilikua nakupa nafas ya kukaimu uenyekiti...Hamna chance.tushapata rais mwenyekiti katibu ,mweka hazina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu.. Na fit hyo position tatizo nina uchu wa madaraka... Fanya nipigie kampeni nirudi ktk nafas then takutumia kitu kidogo PM ukikataa namuita mshana jr akuongeze kwenye albadri
Duh.. Mkuu fanya mchakato mnipe hata utunza hazina... Kumbuka nilikua nakupa nafas ya kukaimu uenyekiti...
Halafu numbisa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utaambulia dafu
Halafu numbisa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utaambulia dafu
Kula like na toa likeHuu uzi nilikuwa nauruka kila siku bila kuufungua wacha leo nikae nisome kila komenti kwa kituo.....
Halafu numbisa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utaambulia dafu