Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Pole yakeJamani wanaume muwe makini na hizi tiba za nguvu za kiume...
Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 60 amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu ya kuongeza nguvu za kiume kwa mganga wa kienyeji mkoani Shinyanga.
Vitunguu swaumu ni dawa na tiba tosha kwa magonjwaNaviogopa sana vitunguu swaumu kwa harufu yake ingawa nashauriwa sana kuvitumia, sasa vina madhara gani kama utavitumia Mara kwa mara?
Ng'ombe hazeeki mainiHatari mzee miaka 60 bado anataka kukwichi kwicha kama kijana daah nanilii tamu
Hahahah
Yeah! Kwenye hiyo kitu (nanilii) Mungu Alituweza wanaume...Hatari mzee miaka 60 bado anataka kukwichi kwicha kama kijana daah nanilii tamu
Hahahah