Solange Magnano, 38, aliwahishwa hospitalini kwa ajili ya kufanyiwa matibabu baada ya kuzidiwa katika kliniki ya oparesheni ya vipodozi kwa kushindwa kupumua.
Habari iliyosambaa duniani mwaka 2011 ni kuhusiana na April Brown, raia wa Marekani ambaye alikuwa mwanamitindo, kutokana na tamaa yake ya kuwa na makalio makubwa, alijikuta akikatwa miguu na mikono baada ya kuchoma sindano zenye dawa za kumuwezesha kuwa na umbile hilo.