Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alikuwemo humu jana na tumikwara kwara twake. Unajua tena Wapare kwa kujifaragua na kujimwambafai...

Mbona siku hizi unapotea sana? Mpare anakunyima uhuru ama nini sasa?
Hahahahahaha!!!!! [emoji23][emoji23][emoji23]

Nipo kbsa nimebananabanana mambo ya mpare hakika....ila sasa naanza kupata unafuu nitakua naonekanaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…