Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Cha muhimu kama unajali afya yako na afya ya jamii inayokuzunguka huna budi kuwa na ratiba ya kwenda kwenye kituo cha afya mara kwa mara kuchunguza afya yako. Hii itakusaidia wewe kutambua magonjwa ambayo yanaula mwili wako taratibu taratibu bila wewe mwenyewe kutambua kwani hakuna dalili zozote zinazoonesha kuwapo kwa ugonjwa huo.
 
UMUHIMU WA KUCHUNGUZA AFYA MARA KWA MARA


Watanzania wengi tumekua na utaratibu wa kwenda hosipitali pale tu mtu anapohisi kuna tofauti katofauti katika mwili wake, huenda akahisi homa, tumbo kuuma, kutapika, kuharisha, na dalili nyingine ambazo zitamfanya ajihisi mwili wake haupo kawaida. Baada ya kuhisi tofauti hizo ndio huchukua maamuzi ya kwenda hospitali kuangalia afya yake.
 
Magonjwa mengi hayaoneshi dalili pale tu yanapo uvamia mwili wako. Endapo magonjwa yatavamia mwili wako huanza kuuathiri taratibu bila wewe kuhisi dalili yoyote ya ugonjwa wakati huo kinga ya mwili hujitahidi kupambana na ugonjwa huo. Iaktokea kinga ya mwili ikashindwa kuudhibiti ugonjwa huo na mwili umeatiriwa pakubwa ndio unaanza kupata dalili za ugonjwa kama uchovu, maumivu n.k.
 
Pia kuna magonjwa huanza na sehemu ndogo ya mwili baada ya wadudu kuzaliana na kuwa wengi wengine hujitaftia makazi mapya kwasababu wamekua wengi katika sehemu hiyo ya mwili na kushindwa kupata chakula cha kutosha.
 
Kwa mfano kaswende huanza kuathiri kwenye sehemu za siri wadudu hawa wa kaswende huzaliana hapo na kujipatia chao. Endapo ugonjwa huu utakosa kutambulika na kukosa matibabu wadudu hawa huzaliana kwa wingi na kufikia hatua ambayo wengine wanaanza kutafuta mazingira mapya katika mwili kwasababu idadi yao imekua kubwa sana na kusababisha uhaba wa upatikanaji chakula.
 
Taratibu huanza kutafuta mazingira mapya huingia kwenye damu na kusafiri sehemu mbalimali za mwili hivyo huweza kuathiri sehemu nyingine za mwili. Baada ya kuathiri sehemu nyingine za mwili ndio huanza kuonesha dalili za ugonjwa na hapa mwili unakua umeshaathirika pakubwa tofauti na ugegunduliwa pale ulipokua unaanza kuathiri sehemu za siri.
 
Welcome to Open Discussion Forums: The Home of Critical Thinkers!

Open Discussion Forums is a knowledge base forum created with the notion that education must be applied to solve societal problems. The platform targets to create, archive and disseminate relevant and meaningful educational information and knowledge to the general public. We intend to use cutting-edge digital solutions to make learning attractive, interactive, social and fun. Membership is free just as for many other social platforms, but we are different in the sense that, we value people who value knowledge that can impact society for a bright future. We continually build and add up more features into and on top of this cloud application, to make it a seamlessly easy to use platform, so that users can relax and conveniently engage into more relevant educational discussions to foster a truly smart society.

Open Discussion Forums therefore intends to bring together people with various professions, skills and knowledge to contribute in chosen areas of their interest. There are however numerous benefits associated to Open Discussion Forums membership:

  • Get an opportunity to meet friendly on-line community of students, scholars and pragmatic thinkers who are interested and focused in sharing valuable skills, knowledge and information.
  • Engage in more meaningful discussions to sharpen your thinking for your own benefit and generation.
  • Open Discussion Forums is a professional platform where you will have an opportunity to stimulate, grow, adjust and apply your education, knowledge and skills through teaching others and learning from them to impact a lasting change.
  • Inspire knowledge, skills, creativity and innovation through rational critical thinking outpouring from carefully and scrutinized contributions to create and build a promising smart society!
  • You have an opportunity to market, sell, your skills and work, which in turn can create future meaningful networking with clients and customers.
  • You get an opportunity to apply and exercise your valuable skills to solve a wide range of problems for others, a good way of giving back to the community. At Open Discussion Forums, skills and professionalism is what makes it unique! This is a great opportunity to learn how to think like a real problem solver.
  • You have an opportunity to get listened, give sound views, proposals, suggestions, recommendations to positively impact a growing Open Discussion Forums community and its infrastructure.
  • You have an opportunity to create more meaningful contact, becoming an advocate, affiliate, partner or an integral part of Tanzania Students and Scholars Foundation Limited, ***** community, with a possibility to fully participate in its future endeavours.
  • Finally, you stand a great chance of becoming a remarkable contributor with a possibility to gain recognition, awards and appreciation for your legendary and notable contributions.
It's always great to have a new member at Open Discussion Forums, The Home of Critical Thinkers! and we look forward to seeing your esteemed contributions aboard.

Let's make learning social, interactive, fun and enjoyable. Together we can build a smart community!

Regards

The Open Discussion Forums Team
 
kweli kabisa ....nyongeza follicle stimulating Hormone ndio kichocheo kikubwa kuzalishwa kwa hiki kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…