myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
likesπ
Ukifika kwenye huu uzi anzia page ya kwanza toa like mpaka page ya mwisho halafu weka comment yoyote utapata like za kutosha kwa wanaokuja. Hapa hamna uchoyo ni kupeana likes tu hamna kificho
Kula likejoka makengeza
Chukua likeAsante Kwa kuelewa mkuu nimekupa like
ππNimeliangalia ziwa victoria juz wakat nipo mwanza,,nikapiga hesabu za mbali sana na nikagundua naweza pata hela nying sana kwa kutumia lile ziwa,,na mipango inaanza kwenda vzr,,kwa siku sitakosa kuanzia laki tano mpk milioni,,,wacha kwanza nikoke kuni zikishakolea tutajuzana fursa hii
ππππmuanzisha sredi hiyo avatar yako mie mbavu sina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
πππππhuku kumegeuka mombasa...ukigeuka like...ukilala like...ukisimama like
Hata mimiNdio maana sina mpango wa kuondoka JF
NdiyoDuh, kweli huu uzi wa likes.
HakikaMungu ni jibu la kila swali.
ChukuaNipeni LIKES
Chukua πhaya nipeni laki (likes) zangu...
ππAsanteni wakuu wiki hii nilikua na ukame wa like hadi nikaumwa Malaria.
Kula likegdhdhjgfykek
ππYaani badala ya kwenda university nimeingia humu chekechea!!!!![emoji1321]
πππππWatu wana nyege na likes, naona uzi unakimbia hatari!
ππππNaona hii thread inakwenda kwa speed ya farasi.
Bila shaka hakuna asiyependa kukubalika. (kulaikiwa)- Comments zitakuwa za kutosha