mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Tumezipiga marufukuUzi huu ni kama nyavu aina jarife au kokoro kama mnavyoita hukkoo
Kabisa mkuuUzi umekusanya kila kitu miongoni mwa vitu vya jamiiforums
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo ndipo pabayaUkikutwa unatembea na mwanafunzi unafungwa miaka 30 ..Je ukikutwa unakimbia naye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hile inatoka Tarime hatari sanaChezea vyote, lakini si bange ya mwanza[emoji3] [emoji3] [emoji3] inakupa masham sham mpaka unajihisi unaweza kuyabeba mawe yote ya jiji hilo[emoji3] [emoji3]