Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unapenda mizigo sana weww[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ni mgeni humu. Mimi ni katibu mkuu wa CHAWAMITA - Chama cha Wapenda Misambwanda Tanzania. Ndiyo maana picha zingine (kama hii hapa chini) zina nembo ya chama. Hapa nipo kazini nawakilisha chama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Numbisa mtafutaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…