You just went philosophical on me...Pesa sio furaha, furaha ya kweli ni kutoka moyoni.
Kitendo cha kuamka salama ni furaha tosha moyoni
You just went philosophical on me...
Nilikuwa naongea katika level ya huku kwetu Uswahilini Mbagala mkuu.
Sasa wewe umezama kifalsafa level za huko kwenu Masaki....
Nakubaliana nawe